Je, Matumizi ya kila siku ya Fridge, Blender, Pasi, Jiko la umeme n.k naweza vuka units 75 kwa mwezi?

Namie napitia hapa mana ndani ya mwezi huu namie huu uzi utanihusu. Nje kuna taa kama 6*5*5/1000 =0.15Kwh *30 = .45Kwh yaani kwa taa tu mwezi mzima unit moja haishi. Twice kwa ndani nitatumia unit 1 maximum kwa mwezi
 
Namie napitia hapa mana ndani ya mwezi huu namie huu uzi utanihusu. Nje kuna taa kama 6*5*5/1000 =0.15Kwh *30 = .45Kwh yaani kwa taa tu mwezi mzima unit moja haishi. Twice kwa ndani nitatumia unit 1 maximum kwa mwezi

Kwa taa tumia bulb za LED, za watts 5, zina mwanga mkali na zinakula umeme mdogo.
 
Ukitaka kutumia umeme mdogo nunua vifaa vipya vya umeme....usinune used...kuna fridge ukiwasha halizimi mpaka kila kitu kiwe ice sasa hiko ni kupotezs umeme
 
Unit 65.6 kwa elf 8000 mkuu!!? Mbona mie huwa napewa unit 28 kwa elf 10000!!
 
Hujaelewa kuna makundi ya matumizi ya umeme kuna wanatumia unit 0-75 kwa mwezi hawa wapo kwenye kundi la tarrif 4 ambao hununua umeme kwa bei ya chini tofauti na wale wanaotumia zaidi ya unit 75 kwa mwezi.
Shukrani mkuu hapo ninekuelewa
 
nadhani unamaanisha tarrif 4 ya chini kabisa. mimi wananipa Units 8 kwa shilingi 1000
 
To be more precise, weka power rating ya kila unachokitumia.. Utapigiwa hesabu ya units utakazotumia kwa mwezi
 
Halafu jua kabisa kama utanunua umeme mara mbili kwa mwezi ukiwa kwenye tarf 4 watakushusha kwenye matumizi makubwa tena zile unit 14 kwa 5000/= zitakuhusu. Over
 
Diference ya power consumption due to matumizi haiwi kubwa kiasi hicho unachotaka kutuaminisha...
Hayo mambo hayahitaji nguvu hivi unajua kila kifaa cha umeme kina muda wake wa matumizi muda ukiisha hata ukikikarabati bado kotakuwa na mapungufu na kitaa kipya ni sawa na magari au mitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…