Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

Mzee baba we kama unahela na gari umelipenda jilipue tu...

Usitegemee kupata consumption nzuri kwenye hiyo gari hasa kwa safari za mjini....kumbuka ni gari ya starehe na injini zake ni za lita 2.5 mpka lita 3.5 six cylinders. Huo ndiyo ukweli wengine woote watakudanganya ooh haili mafuta...

Kumbuka hiyo gari ina injini kubwa...kama kipato chako ni kidogo haitakuwa gari rafiki kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba we kama unahela na gari jmelipenda jilipilue tu...

huyu ndugu kasema ukweli we kama mnunuzi angalia kipato chako na uwezo wa gari yaan CC hapo ndio utajua ila usiseme kuulizia crown imekaaje sijui nn ila ukweli ni kwamba zina kunywa mafuta as long as ni gari ya CC kubwa engine yake kubwa misili ya mark X ss watakaje tena kama umependa mzigo we jilipue tu utembee nayo ata mwezi then utafanya evaluation ukiona inakutia umaskini una UZA mbona wengi tu wanaziuza izo gari siku izi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…