R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 2,351 Reaction score 2,255 Apr 30, 2025 #1 Wakuu naomba kwa anayejua kama kutumia VPS hapa Tanzania ni lazima nipate kibali TCRA kama ilivyo kwa VPN. Nataka nilipie proxy server huko ughaibuni. Nilishatumia miaka ya zamani sielewi kama sheria ya matumizi imebadilika. Shukran
Wakuu naomba kwa anayejua kama kutumia VPS hapa Tanzania ni lazima nipate kibali TCRA kama ilivyo kwa VPN. Nataka nilipie proxy server huko ughaibuni. Nilishatumia miaka ya zamani sielewi kama sheria ya matumizi imebadilika. Shukran