Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 650
- 1,016
Siku za karibuni kwa wafuatiliaji wa mambo ya ndani ya Nchi na Siasa za Bongo kumekuwa na kasumba ambayo haijazoeleka ya mawaziri kufungua au kukagua miradi isiyo ya sekta anayoisimamia. Ivi karibuni
1. Deo Ndejembi, Waziri wa Ardhi alionekana Msalala Kahama kwenye miradi ya shule iliyopo TAMISEMI.
2. Jerry Silaa, Waziri wa Habari na Mawasiliano kaonekana Singida kwenye miradi ya Maji.
3. Juma Awesso, Waziri wa Maji kaonekana Simiyu akikata utepe kwenye zahanati.
Je huu ni ubunifu wa Serikali yetu au ni kujiongeza kwa mawaziri vijana wa Serikali ya Awamu ya Sita.