Je, Mayele alikuwa Yanga kwa mkopo au kwa mkataba?

Siasa za mpira wa bongo huzijui mkuu,, mayele alikuwa kwa mkopo wa miaka miwili yanga na baada ya kufanya vizuri timu yake ikaamua kumuuza jumla kwa pyramids fc
 
Siasa za mpira wa bongo huzijui mkuu,, mayele alikuwa kwa mkopo wa miaka miwili yanga na baada ya kufanya vizuri timu yake ikaamua kumuuza jumla kwa pyramids fc
Kwenye hio interview anae ongea ni Mayele sio msemaji wa timu wala mchambuzi kwanini tukatae kuamini maneno ya mhusika mwenyewe?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwa maana Hiyo Tumejua kuwa yanga amepokea mpunga wote Tshs 3.4 bn Kama mchezaji wao halali , biashara nzuri imefanyika

Akitokea mbishi tumwachie abishane na redio au luninga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…