James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
Habr wapendwa, mimi nina swali kwenu madaktari wa JF.
Je naweza kutumia maziwa fresh kama chakula changu cha kila siku?yaani siku nzima natumia maziwa fresh,je nini faida yake? na madhara yake ni yapi?