James Hungury JF-Expert Member Joined Jun 8, 2013 Posts 825 Reaction score 612 Aug 29, 2015 #1 Habr wapendwa, mimi nina swali kwenu madaktari wa JF. Je naweza kutumia maziwa fresh kama chakula changu cha kila siku?yaani siku nzima natumia maziwa fresh,je nini faida yake? na madhara yake ni yapi?
Habr wapendwa, mimi nina swali kwenu madaktari wa JF. Je naweza kutumia maziwa fresh kama chakula changu cha kila siku?yaani siku nzima natumia maziwa fresh,je nini faida yake? na madhara yake ni yapi?