mnyonyeshe ili ujue kama ni kweli ama si kweli....!😎Habari zenu wajuzi, nina mtoto wa miezi 9 ila nimesafiri takribani week mbili sasa na huku nilipo nilikamja maziwa yangu siku moja tu, je nikirudi naweza mnyonyesha? Kuna imani kuwa maziwa ya Mama usiponyonyesha hata siku tatu ukija mnyonyesha mtoto anaharisha hivyo natamani kujua kutoka kwa watalamu je ni kweli???
natarajia kurudi jumanne.
Tayari kashanisamehe...!Mungu akusamehe
Mdada Passport yake ilichelewa kutoka sikua na namna zaidi ya kumuacha.Kwanini usiende na mtoto au hutaki sereka za kusafiri na wa kukaa nae make napo ni kipengele!!
Vipi ile miezi 7 uvomuacha hakudhurika kiivo???
Nasikia huwa hayaharibiki but kuna watoto wengine kweli huharisha sana!!
Mungu asaidie yasiharibike wala kumdhuru
Cc Smart911
Kamua tu kwa afya ya mtotoMdada Passport yake ilichelewa kutoka sikua na namna zaidi ya kumuacha.
Kile kipindi nilikua nakamua kila siku hivyo hivyo ingawa yalikua hayatoki, this time nachoka sana hata kukamua naona uvivu.