ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,096
- 2,287
Habari zenu,
Ni matumaini yangu mu wazima kimwili na kiakili. Nimepata mawazo sana kuhusiana na hili swala la maziwa ya viwandani ya kwenye pakiti kama vile brookside, azam, parmalat na mengineyo. Je, haya maziwa ni ya ng'ombe kweli au ni milk flavoured drink?
Je, yana virutubisho au hayana?
Je, tunapaswa kuyaita maziwa?
Je, tunapaswa kuyatumia kama mbadala wa maziwa ya ng'ombe?
Je, vipi kuhusu madhara ya matumizi yake endapo yana kemikali hatari?
Je, yana tofauti gani na maziwa ya unga?