Vipo viwanda ambavyo vina ranchi zao za kufugia ng'ombe kwa ajili ya hayo maziwa(mfano ASAS na Tanga Fresh) ambayo hupitishwa kiwandani na kuwekewa preservatives lakini ni hakika kua haya maziwa hayana bacteria yeyote sababu yamefanyiwa process inayoitwa pasteurization. ( Kitu ambacho hupati kwenye maziwa halisi).
Ila sio maziwa yote ni ng'ombe halisi mfano azam milk.
Ahsante sana mkuu kwa ufafanuzi huuVipo viwanda ambavyo vina ranchi zao za kufugia ng'ombe kwa ajili ya hayo maziwa(mfano ASAS na Tanga Fresh) ambayo hupitishwa kiwandani na kuwekewa preservatives lakini ni hakika kua haya maziwa hayana bacteria yeyote sababu yamefanyiwa process inayoitwa pasteurization. ( Kitu ambacho hupati kwenye maziwa halisi).
Ila sio maziwa yote ni ng'ombe halisi mfano azam milk.