Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Hili zoezi la kengel ndio huwa likoje bandugu?
Ni la kubana "uke" kama umekuwa mkubwa unapwelepweta , a.k.a shimo au hall.Hili zoezi la kegel ndio huwa likoje bandugu?
Ndio linaitwa Kengel eee?
Utanitumia lini sasa?
Wewe Fanya Mazoezi Kwa Afya Unabana Pumzi Unaogopa Nini
Kama unaweza kuyafanya bila kuhema kabisa, basi endelea hivyo hivyo..
Bandugu kuna dem anapigiwa tizi [emoji23][emoji23].
Kwa kukusaidia, kila zoezi unalofanya n lazima uminye pumz kiasi.
Labda nkuongezee tu, fanya na squats, zitakusaidia pia.
Search tu mule ztakuja.Angarau wewe umenisaidia chifu. Hizo squats waweza nitumia youtube kama hutojari mkuu.
Search tu mule ztakuja.
Au install app ya daily workouts wanaelekeza vzr sana
Amina sana kiongozShukurani chifu,,ubarikiwe