Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Moderator naomba Uzi huu uache ujitegemee lengo lake ni kujifinza
Wadau hamjamboni nyote
?
Napenda kujua kama upo mwongozo wowote ule kiimani au kikanuni kwa mujibu wa Vitabu vitukufu kuhusu kufunga kwa viumbe wengineo zaidi ya binadamu hususani majini.
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu
Niwatakie usiku mwema mbarikiwe sana