The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Najiuliza, je mbinguni ni mahala panatisha kiasi hiki? Kwamba hata watu wanaotufundisha kwamba Mbinguni ni mahala pazuri wanaogopa kwenda?
Kwa mfano, hebu fikiria, Papa mwenye zaidi ya miaka 88, umri wa kutosha kabisa, bado anapambania afya yake na uhai wake hospitalini ili apone. Madaktari bingwa wanakesha usiku na mchana kuokoa maisha ya Papa. Hii yote ni kuhakikisha kwamba Papa haondoki hapa Duniani, bado maisha ya hapa Duniani ni matamu na yenye uhakika zaidi.
Ni wakati muafaka watu mnaoamini hizi dini muanze kujiuliza maswali, kama mbinguni ni kuzuri sana na kutamu, Papa anahangaika nini hospitali ili apone, si angeacha tu afe aende mbinguni akaishi na baba?
Hata wale walioahidiwa mabikra 72 na mito ya pombe pia hawataki kufa, unajiuliza unaachaje watoto wazuri mabikra wenye macho makubwa na maumbile mazuri huko akhera na badala yake unahangaika na flat screen na wapiga mizinga wa hapa Duniani?
Jibu ni moja tu, mbinguni ni hadithi za kutunga zisizo na uhakika wowote, Duniani ndio mahala pekee penye maisha na penye uhakika.