Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 831
level zako? wewe ni mr.blue au na wewe ni msani?Wote tuna fahamu kwamba kwa Muda mrefu kwamba Blue pamoja na wasanii wengine wa awali wamekua wakipwaya katika game la Bongo flava licha ya kuachia ngoma mara kwa mara, Je Mboga Saba ndio ngoma itakayo Mrudisha Blue kwenye Level zangu kama Awali?
Sorry nlimaanisha level zakelevel zako? wewe ni mr.blue au na wewe ni msani?
Kiba huyo wa sonyAliyeimba chorus ndio kaharibu wimbo
Moga sabaLevel zako ni mita ngapi?
kumbe huyu boya aka bogaz yupo kwenye game bado...angekua na akili timamu angeacha mziki aende kulea watoto, muda wake ulishapita mziki wa sasa hivi una wenyewe... BLUE achana na mziki muda umeshakutupa mkono mzeya..Wote tuna fahamu kwamba kwa Muda mrefu kwamba Blue pamoja na wasanii wengine wa awali wamekua wakipwaya katika game la Bongo flava licha ya kuachia ngoma mara kwa mara, Je Mboga Saba ndio ngoma itakayo Mrudisha Blue kwenye Level zangu kama Awali?
Ng'ombe hazeeki maini bobkumbe huyu boya aka bogaz yupo kwenye game bado...angekua na akili timamu angeacha mziki aende kulea watoto, muda wake ulishapita mziki wa sasa hivi una wenyewe... BLUE achana na mziki muda umeshakutupa mkono mzeya..