Je, Mboga Saba ni ngoma iliyomrudisha Blue kwenye level zake?

Noma

Ngoma imeflop, Kiba ndo kaharibu kabisa kabisa.
 
Wengine tutaisikiliza tu kwa sababu ni Blue....otherwise akae chini aumize kichwa...nina imani bado anaweza kuja vizuri zaidi.
 
****
MTU anatoa ngoma 1 tu, inawika na kumtoa./
ona harmonise ngoma 2 tu katoka.....!?/

Hata Blue ni ngoma moja tu iliyomtoa, Mapozi. Nikaja kumsikiliza vizuri labda kwenye wimbo alioimba na Q Chilla na TID. Zilizobaki ni mauzauza maputu
 
Hata Blue ni ngoma moja tu iliyomtoa, Mapozi. Nikaja kumsikiliza vizuri labda kwenye wimbo alioimba na Q Chilla na TID. Zilizobaki ni mauzauza maputu
No no no "BLUE BLUE" ni ngoma aliyo muweka katika sura ya Muziki
 
hamna kitu...wimbo wa kawaida mno.
utaishia kapuni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…