Je, mboga za majani zinazolimwa Dar zina sumu inayochangia matatizo ya nguvu za kiume, cancer, bawasiri, vidonda vya tumbo, n.k?

Tulitaka kufanyia project ya hyo kitu tukapigwa full stop na mwenyekiti wa eneo tukaachana nao ila kwa kuyaangalia tu sio Salama.
ni sawa na kutaka kufungua kituo cha kupima dna bure
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…