PreGE2025 Je, Mbowe kuchagua Heshima au Tamaa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakuna jambo wanalolifanya hao wasaliti bila baraka za Mbowe ndg! Lkn Mbowe hatafanikiwa . Coz naamini ktk hili Mungu hayupo upande wake.
 
Ulitakiwa kuyaandija haya kabla ya kumtimua uenyekiti. Kwa sasa mwenyekiti ni Lissu na ni wakati wake nae kujenga chama anavyoona yeye.
Kikimshinda aachie ngazi msisingizie Mbowe yeye keshafanya wakati wake mkamchoka mkamweka pembeni. Acheni chokochoko.
 
Huoni camp ya Mbowe ya G55 ilivyokuwa inahaha kukihujumu chama?
 
Huu ndo ukweli, lissu akishindwa asitafute mchawi . Mbowe kapambana sana, kawekwa gerezani miezi 7 kwa kesi ya ugaidi na chama hakikubomoka.
Leo huyu mwanaharakati kaongoza miezi saba tuu chama kimebomoka. Mbowe kaongoza zaidi ya miaka 20 chama kilikaa na umoja pamoja na hujuma zote za kufutiwa wagombea.
 
Umeshahu kuwa Mbowe alipokuwa Jela ni Lissu ndiye aliyekuwa akiongoza chama na pia Lissu hakuwa na genge la kumkwamisha Mbowe. Wanachadema wote waliungana kumtetea Mbowe na kukiunganisha chama. Tofauti na sasa ambapo genge la Mbowe wanasaliti maamuzi ya vikao vya chama huku mwenyekiti akiwa jela.
 
Inawezekana chama hakikubomoka kwa kuwa Lissu alikitunza wakati Mbowe yupo gerezani?

Halafu wakati Mbowe yupo gerezani CHADEMA kilikuwa kimetoka kwenye uchaguzi? Mbona matukio hayafanani mazingira na nyakati?
 
Hata Mbowe alihujumiwa sana, hakuwa salama. Sasa Lissu alihujumiwa kuna ajabu gani? Kama hana uwezo wa kupambana na hujuma basi uenyekiti hauwezi akaungane na mzee wa ubwabwa kuipongeza serikali ya CCM.
Hujuma ya safari hii ni kubwa zaidi, inahusisha sekretariat nzima iliyopita huku kukiwa na fedha za CCM
 
True, Lawama hazijengi chama.
 
Mkuu, kiongozi ni mwenyekiti hata akiwa jela. Lissu alikuwa makamu mwenyekiti na maamuzi yote yalifanyika kwa uongozi wa Mbowe.
Sasa kama Lissu aliongoza wakati Mbowe yuko gerezani ina maana kwa sasa Heche ndo anaongoza na ndo kabomoa chama?
Mbowe asilaumiwe kwa Lissu kufeli.
 
mlimkataa Sasa mna haha kwambieni lema aliye gawanya chama kwa ftna yule alie msaliti mbowe
angali mbowe alijua huyu ni mwezangu kumbe angepigwa busu la usaliti.
mana haha maana mnajua bila mbowe hakuna Chadema.
 
K
Kilaza ktk ubora wako
 
mlimkataa Sasa mna haha kwambieni lema aliye gawanya chama kwa ftna yule alie msaliti mbowe
angali mbowe alijua huyu ni mwezangu kumbe angepigwa busu la usaliti.
mana haha maana mnajua bila mbowe hakuna Chadema.
Lema hakumsaliti Mbowe ila alimwambia mapema kuwa hatamuunga mkono!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…