PreGE2025 Je, Mbowe kuchagua Heshima au Tamaa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbowe ni dhaifu sana, kuanzia kushindwa uenyekiti ilikuwa udhafu mkubwa sana. Anachotakiwa kufanya siyo kuua Chdema ni kurudisha chama mikononi kwake. Mbona ni simple tu, km vp tuwasiliane kisiri tumpe ushauri. Lipumba ni mwanaume ajifunze kwake. Mbowe ni km alipinduliwa. Lissu yuko mahabusu ningekuwa mm kabla hajatoka nimesharudisha chama changu. Mwanaume unakuwaje dhaifu hivyo?
 

Chuki ya Mbowe kwa WanaCHADEMA waliomkataa kwenye sanduku la kura ni kwa yeye kushiriki kukihujumu chama kupitia genge la G55
 
Mwacheni baba ndubwi apumzike

Nadhani ni busara kumuacha mstaafu apate private time

Humu ndani kila aiku tuko husy kumnanga jk why hakai pembeni but we want mbowe awepo tu
 
Mbowe hapa hajalaumiwa meku. Ila mleta mada ametoa tahadhari na maoni yake mzee
 
Chuki ya Mbowe kwa WanaCHADEMA waliomkataa kwenye sanduku la kura ni kwa yeye kushiriki kukihujumu chama kupitia genge la G55
Ameonyesha wapi hiyo chuki wakati hajatamtaka lolote kuhusu Chadema? Humu wamejaa watu wanao onyesha wazi wazi kuwa na chuki nae. Kama angekuwa na hizo chuki mbona hajawazuia wakina Boni na Sugu kushirikiana na uongozi wa sasa. Waliosababisha kuanzishwa kwa G55 ni uongozi wa sasa ambao umeonyesha wazi kuwanyapaa wale wanaodhani bado ni Team Mbowe. Wamewapisha lakini hamjatosheka. Hizo ni dalili za uchawi.

Amandla...
 
Huna akili.
Kwa hiyo ukishindwa uchavuzi ndio uharibu chama?
Hawa G55
Ni wahuni wake kwanini ameshindwa kuwadhiboti lwa maslahi ya chama?

Mbowe muhuni tu
Mbowe tapeli la kisiasa
 
MBOWE hajawahi kushiba hela
 
Yeye ni mjumbe wa kamati kuu na kiongozi mstaafu, kwa nini halikemei kundi lake la G55 mpaka linaleta uasi ndani ya chama?
 
Wakati Mbowe yuko rumande tayari wakina Lissu waliisha anza mipango ya kumpindua kwa sababu walijua hachomoki. Waliompigania ni wakina Ruge na wengine ambao walilala sana mahabusu kwa sababu ya kudai Mbowe aachiwe. Waliandamana nje ya ubalozi wa Marekani, walianzisha klabu za jogging walipozuiwa kuandamana, walijigalagala nje ya Mahakama Kuu kudai kuwa Mbowe sio gaidi. Walikuwa wanajazana Mahakamani na kutayarishia watu chai. Wakati huo wakina Lissu, Lema, Msigwa n.k. walimpigania wakiwa Clubhouse lakini huku wakipanga namna ya kuchamkia fursa. Lissu akamshutumu kwa kuiba gari la chama lakini hakufanikiwa. Mipango ya kumng'oa Mbowe hayakuanza Desemba mwaka jana.
Hawa unaowaita wasaliti walisema wazi kuwa hawakubaliani na mpango mzima wa NRNE elections unavyoendeshwa.

Mbona Lissu alikuwa anapinga wazi mpango wa Maridhiano wakati ulikuwa na baraka za Kamati Kuu. Alimshutumu Mwenyekiti wake wazi wazi kuwa amelamba asali. Alikataa wito wa kuhudhuria kikao cha Kamati Kuu. Alikataa kukifanyia kampeni chama chake katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Huyu hamkumuona lakini mnawaandama wale waliojitoa hadharani.

Chadema sasa ni ya Lissu na anawajibika kwa kila kitu kinachoendelea katika chama chake. Siasa za kinafik zina mwisho wake. Huu ndio mwisho wake. Kitakacho fuata ni kugeukiana wenyewe kwa wenyewe mambo yatakapoenda mrama.

Amandla...
 
Yeye ni mjumbe wa kamati kuu na kiongozi mstaafu, kwa nini halikemei kundi lake la G55 mpaka linaleta uasi ndani ya chama?
Kwa nini alikemee kama anaona wazi wanavyoonewa? Watu hawakujitoa kwenye hicho chama kwa sababu wanampenda sana Mbowe. Wametoka kutokana na matendo waliyokuwa wakifanyiwa. Ilikuwa rahisi sana kwa Mwenyekiti na Makamu wake kuwakemea kikundi ambacho kilikuwa kinatendea uovu. Wote hawa amefanya nao kazi kwa muda mrefu na anajua thika mchango wao kwa CDM. Alipataje kigugumizi katika kuwakingia kifua na kusikiliza malalamiko yao. Hili ni la kwenu, msimlaumu mtu mwingine.

Amandla...
 
Atajua mwenyewe, alafu atashangaa kama yamwayo kweli
 

Wewe unampenda Mbowe kuliko CHADEMA
 
Sasa kama hana nia ovu si ajitokeze hata kukemea utekaji? Vinginevyo tutajua tu kuwa Asali aliyolambishwa ina riho nyuma yake!
 
MTOTO ALIYEMUONA BABA YAKE SI KITU WALA CHOCHOTE WEWE UNGEMFANYEJE? MATUSI WAKATI WA KAMPENI HAMKUONA MNAVUNJIA HESHIMA KIONGOZI WENU ? LEO MNALIALIA.HAHAHAHAAA.
TENA INGEFAA KAMA IKIWEZEKANA TUME IKASOGEZA MBELA UCHAGUZI WA MWAKA HUU,MBOWE AANZISHE CHAMA KINGINE AWASAJIRI COVID 19 NA G 55 NA KUINGIA KWENYE UCHAGUZI .NAMPA KURA ASUBHI NA MAPEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…