johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hahahaaa........bwashee usimuwekee dhamana mwanasiasa!Mbowe hana umalaya huo chukueni tu hao changudoa wenu wasiojitambua.View attachment 1376566
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe ameshapitishwa kwenye matanuru mengi ya moto lakini ameendelea kusimama!Hahahaaa........bwashee usimuwekee dhamana mwanasiasa!
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!Mbowe ameshapitishwa kwenye matanuru mengi ya moto lakini ameendelea kusimama!
Sasa huo mkate miaka nenda rudi hauyeyuki tu?Tusubirie mpaka lini?Maana kila ukiingia kwenye chai na kutoka bado uko vilevile tena unazidi kuonekana mgumu!Labda huo mkate tuuyeyushe kwenye "smelter" maana chai naona imegonga mwamba!Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!
Subiria bunge livunjwe na ruzuku itamatike bwashee!Sasa huo mkate miaka nenda rudi hauyeyuki tu?Tusubirie mpaka lini?Maana kila ukiingia kwenye chai na kutoka bado uko vilevile tena unazidi kuonekana mgumu!Labda huo mkate tuuyeyushe kwenye "smelter" maana chai naona imegonga mwamba!
OkSubiria bunge livunjwe na ruzuku itamatike bwashee!
Ila CCM imekwisha kweli kweli hadi kukodi vikundi vya wanywa gongo vikawasaidie kupambana na Mbowe?
Naona huo mkate ni "very special" kama hata kwenye chai hauyeyuki? Jawabu nikukaa pembeni na kufanya upembuzi hakinifu aina gani ya huo mkate then implementation process.Sasa huo mkate miaka nenda rudi hauyeyuki tu?Tusubirie mpaka lini?Maana kila ukiingia kwenye chai na kutoka bado uko vilevile tena unazidi kuonekana mgumu!Labda huo mkate tuuyeyushe kwenye "smelter" maana chai naona imegonga mwamba!
We endelea kukaa gizani hivyo hivyo, walioko kwenye mwanga wote wameshaonaAkipata nafasi ajibu yale maswali kabla kusema wale ni watu waliotumwa kumharibia maana watu wa siku hizi hata akijikwaa atasema jiwe limetumwa bila kutafuta sababu ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app