Je mbumbujiko wa maji kulia kufuani upande wa kushoto ni tatizo ?

Je mbumbujiko wa maji kulia kufuani upande wa kushoto ni tatizo ?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Sijui ili tatizo gani
Kila nikinwa maji mengi
Kikawaida ni lazima mbumbujiko wa maji unatoa sauti tumboni kila ukitembea au kukimbia
Kwangu naona ni tofauti kidogo
Kila nikinwa maji mengi na nikiwa nafanya mazoezi au kutembea ni lazima
Nihisi mbumbujiko wa maji unalia kifuani kwangu upande wa kushota
Ili ni tatizo au nikawaida wanajua waniambie plz
 
Kwa maelezo yako, kama hakuambatani na dalili nyingine zozote ni kawaida tu mkuu
 
Duniani kuna magonjwa mengi sana,chemichemi ya maji hadi kifuani
 
Back
Top Bottom