Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
Wakati wa uchambuzi wa mechi ya Yanga vs Mamelod, mchambuzi Ramadhani Mbwaduke wa Azam tv alitaja bei ya mchezaji Junior Mendieta kuwa ni $4M. Kwamba hiyo pesa ndiyo iliyotolewa na Mamelod kumnunua.
Nimecheki leo,nimekuta Junior Mendieta alitoka Argentina 2020,akaenda Schellebosch ya South Africa. Baada ya hapo akahamia Mamelod.
Bei zinazotajwa kwenye mitandao ikiwemo Transfer market inachezea 0.6M€ . Haifiki bilioni mbili tsh.
Kuna mwingine aliyemsikia au ni wenge langu?