Pre GE2025 Je, Mchungaji Msigwa kaikimbia CHADEMA kwa ufukara wake au amevutiwa na Demokrasia na kutokuwepo kwa Umungu mtu ndani ya CCM?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom,

Kazi ya uzushi ya kubweka, kubwaka na kubwata vyataka ule ushibe

Nimewaza kuhusu kauli za mchungaji Msigwa hasa juu ya tuhuma za Mbowe kuwa fisadi na Chadema kuwa Mali binafsi ya Mbowe.

Tangu kitambo Chadema ni Mali ya Mzee Mtei ambayo sasa iko chini ya Mbowe na familia pamoja na wachagga wenzake na vidagaa vya ukaskazi.

Wanaojua Chadema nafasi nyingi muhimu na wenye sauti za maamuzi ni wachagga na machawa wachache toka mikoa mingine na ambao wanakula kimpango kazi.

Ni muhimu ikafahamika ya kwamba Ndugu Mchungaji Msigwa ambae sasa amerudi CCM akiwa hana mkia ana kazi kubwa ya kufanya ili kunawa ukungu wote.

Kwa sasa ndugu Mchungaji Msigwa ufukara na tamaa ndio vimemleta huku kwetu CCM.

Mchungaji Msigwa asie na mkia kwa sasa ni lopo lopo na CCM ni dude kubwa atapauka sana kwa tamaa zake za mamba.

Mchungaji Msigwa akae kwa kutulia ili aoteshe mkia wake safari yake ni ndefu sana.

Mkosa mkia hupata kubweka, kubwata na kubwaka.

Ni hayo tu

Wadiz
 
NJAA MBAYA SANA
 
Aliyekuwa houseboy wa mzungu Peter Msigwa akabidhiwa kitengo cha siasa za majitaka huko CCM
 
Attachments

  • IMG-20200403-WA0003.jpg
    IMG-20200403-WA0003.jpg
    12.9 KB · Views: 5
Kuna maneno umeyatumia yanaonesha wewe ni mtu wa namna gani hebu ACHA ubaguzi kuwasema wachaga ,Cheyo na Hashimu Rungwe mbona wanaongoza vyama vyao miaka yote Hujaleta Uzi hapa jukwaani. Sababu sio wachaga SI ndio? Pia wewe sio CCM , wenye Chama Chao wanafurahia kumpata msigwa Wewe ni nani umuone hafai.. Mkuu hujatenda haki, shalom shalom
 
Back
Top Bottom