Je mechi za ligi kuu ya NBC zinapangwa?

Kuna harufu ya upangaji wa matokeo ligi kuu ya NBC

Huyu aliwezaje kubet droo na kuweka peaa nyingi hivi? View attachment 3227170
Kuna odds huwa zikionekana na kwa baadhi ya option kwenye betting watu ambao huwa wako kwenye game muda mrefu huwa wanajua hii ni hela bila kupepesa macho wanatia mpunga mrefu draw kweny match hiyo ingekuwa odds ya 6.0 maybe jamaa asingebet nina uhakika kwa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…