Mlalamikaji daily JF-Expert Member Joined May 19, 2014 Posts 744 Reaction score 1,621 Jan 20, 2025 #1 Wakuu kesho ndio kesho.. Je serikali itakubali chadema ionekane? Je Media zitakubali kutangaza ikibidi 'live" Kama walivyofanya kwa CCM? Binafsi naona matangazo yakikatwa katikati
Wakuu kesho ndio kesho.. Je serikali itakubali chadema ionekane? Je Media zitakubali kutangaza ikibidi 'live" Kama walivyofanya kwa CCM? Binafsi naona matangazo yakikatwa katikati
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jan 20, 2025 #2 Hakuna media ya Tanzania inayoizidi JF
S Shotocan JF-Expert Member Joined Nov 21, 2023 Posts 6,650 Reaction score 12,711 Jan 20, 2025 #3 Mlalamikaji daily said: Je Media zitakubali kutangaza ikibidi 'live" Kama walivyofanya kwa CCM? Click to expand... Media ni biashara kama zilivyo biashara zingine Ni pesa zao tu kulipia wanarusha
Mlalamikaji daily said: Je Media zitakubali kutangaza ikibidi 'live" Kama walivyofanya kwa CCM? Click to expand... Media ni biashara kama zilivyo biashara zingine Ni pesa zao tu kulipia wanarusha
West london Senior Member Joined Jun 24, 2019 Posts 131 Reaction score 321 Jan 20, 2025 #4 Azam watarusha live na ile channel ya mawingu sio rahisi.