Je meli ina breki?

Je meli ina breki?

Inaitwa "Nanga"' Hii ni kama hand breki. Hushushwa baada ya propela kuzimwa au ikiwa idle.
 
Nenda pale Kigamboni ukaangalie kivuko kinasimamaje. Huwa yule Nahodha anashusha lile limlango likijiburuza kwenye ile sakafu ndio kivuko kinasimama... Otherwise lilelile propeller na drag force ya maji ndizo zinatumika kama breki za kivuko...
 
Back
Top Bottom