Je, Messi anaweza kustaafu sasa hivi?

Je, Messi anaweza kustaafu sasa hivi?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Habari za asubuhi hii wanabodi.

Nimejaribu kufikiri kwa sauti kuwa Messi huwa anafanya Mambo kimya kimya.

Kwa kuzingatia hilo na yeye kugoma kusaini mkataba mpya na Barcelona inadhihirisha huenda akawa na agenda ya Siri, siku akifanikiwa kuchukua Copa di America basi atatangaza kustaafu alafu baada ya hayo na CR7 nae ndani ya 2 years nae atastaafu.
 
Back
Top Bottom