Je, Mfanyakazi Asiyeandikishwa Mkataba Anaweza Kuchukua Hatua Kisheria Baada ya Kusimamishwa Kazi?

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,680
Reaction score
2,779
Ikiwa mtu alikuwa akifanya kazi mahala bila kuandikishwa Mkataba, kisha akasimamishwa kazi.

Je, anaweza kuchukua hatua yoyote ya kisheria dhidi ya uamuzi huo?
 
Ikiwa mtu alikuwa akifanya kazi mahala bila kuandikishwa Mkataba, kisha akasimamishwa kazi.

Je, anaweza kuchukua hatua yoyote ya kisheria dhidi ya uamuzi huo?
Ningumu hana legal ground ya ku claim haki yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…