Je Mfumo wa Gesi una madhara gani kwenye gari?

Je Mfumo wa Gesi una madhara gani kwenye gari?

Rick16

Member
Joined
Jul 2, 2022
Posts
47
Reaction score
187
Habari wakuu.

Kumekua na ongezeko la watumiaji wa system ya gas kwenye magari nchini... hofu yangu ni hamna elimu yoyote inayotolewa kuhusu matumizi ya nishati hiyo japo kua ni nishati cheap sana ukilinganisha na mafuta. Je, nishati hii haiwezi kua hatari kwa usalama wa chombo au hata uhai?
 
Madhara kama yapo ni kwa kiasi kidogo sana, labda tu kupungua kwa spacing ndani ya buti.
Shida kubwa ya hayo mamitungi ni endapo gesi ikiisha. Ukienda filling station pale unakutana na foleni utakaa kusubiri kama masaa 2 au matatu maana unakuta magari kibaooo.
Sasa hiyo ni kero sana as filling station zipo 3 tu Kwa hapo Dar. Na ukija za mtungi hardly utakaa nao siku 3 au 4
 
Madhara yapo.

1. Kupungua kwa perfomance ya gari.
2. Engine kuvuma zaidi.
3. Kukauka kwa maji kwenye rejeta
4. Kuunguza plug
5. Kero ya kukaa kwenye foleni kusubiri kujaziwa gas
6. Baadhi ya gari kupungua kwa Engine Oil
 
Madhara yapo.

1. Kupungua kwa perfomance ya gari.
2. Engine kuvuma zaidi.
3. Kukauka kwa maji kwenye rejeta
4. Kuunguza plug
5. Kero ya kukaa kwenye foleni kusubiri kujaziwa gas
6. Baadhi ya gari kupungua kwa Engine Oil

Kujaza gesi ni baada ya muda gani?…na kwa gharama ipi?
 
Back
Top Bottom