Madhara yapo.
1. Kupungua kwa perfomance ya gari.
2. Engine kuvuma zaidi.
3. Kukauka kwa maji kwenye rejeta
4. Kuunguza plug
5. Kero ya kukaa kwenye foleni kusubiri kujaziwa gas
6. Baadhi ya gari kupungua kwa Engine Oil
kuanzia cc 1,000 - 1,700 inaenda km 200 na zaidi kidogo kujaza gesi ni 15,000 - 17,000 km sjakosea kwa kg 15 za gesi.Kujaza gesi ni baada ya muda gani?…na kwa gharama ipi?