hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Wakuu kwema,
Huu mtindo mpya wa CHADEMA kuchangia hela watu wenye kesi mbalimbali unaenda kuota mizizi
Huyu kijana kwa mfano aliyechoma picha ya Raisi, , awali huyu dogo me nilikuwa nifatilia video zake za tictock akimtukana Rais na kuchoma picha zake, hio sio shida.
Kilichonipa attention zaidi ni yeye kujitapa kuwa hawawezi kumfanya chochote huku akiwapa location yao. Mbali na hilo amekamatwa wakati mwanzo alisema analindwa.
Kama hio haitoshi bado jamaa anacheka tu hata baada ya kukamatwa. Muda mchache baadae linapitishwa bakuli tumchangie dogo asifungwe.
Je, hii haitoshi kusema kuwa alitumwa kufanya hivyo na wanaochangisha hela?
Alipaswa kuachwa ajifunze ku behave, Chadema kama chama ambacho kina unfinished business nyingi si jukumu lao kuwakingia mgongo watu wanao misbehave kiasi hicho. Kuchoma picha na Chadema kunahusiana aje.
Baada ya hapo tutasikia kesi ya vijana wengine tena bila hoja yoyote wanaitukana serikali , kisha wanakamatwa wanachangiwa hela.
Tanzania inahitaji vijana wenye akili wa kuikosoa serikali kwa hoja na kuwaelimisha watanzania wengine kuhusu mambo yasiyo sawa kwenye serikali, nchi ambayo watu hawajui hata finance bill ni nini, huwezi kuishawishi kwa kutukana viongozi na kuchoma picha zao.