pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Njaa itakuua ndugu yangu.yaani wewe hicho wanachodai wenzio hakikugusi.?
kweli tumeumbwa tofauti!mpigie kawambwa.Wee ukisema cha nini wenzio wanajiuliza watakipata lini!!
Njaa itakuua ndugu yangu.yaani wewe hicho wanachodai wenzio hakikugusi.?
kweli tumeumbwa tofauti!mpigie kawambwa.
yah,nimekubali and nikupa mbadala.just call kawambwa.Kweli tumeumbwa tofauti.. Wenye njaa na wenye shibe. Wenye ajira na wasio kuwa na ajira so hatuwez kuwa sawa wewe ukisema cha nini mwenzako kama mimi nasema nitakipata lini
Walimu wamegomea kazi zao tu za kufundisha na mitihani. Sensa haihusiki maana inasimamiwa na Idara nyingine ya serikali na tayari Ofisi ya Takwimu imewaajiri takriban walimu wote waliogoma! Usilalie mlango wazi bahati ya mwenzio bro!
Kweli hebu wakuu mtujuze hata mm nina Cheti cha Grade 'A' Marangu TTC mwaka ..... je wizara ya Elimu naruhusiwa kufundisha somo la kiingereza au lolote nikapata huo mshahara maana sina kazi, na katika Sensa tunaruhusiwa?
Kuvuja kwa Pakacha nafuu ya ...............
Samahan wakuu mimi ni muhanga wa ajira hapa nchini na jana nimesikia tichaz wamegoma je wamegoma mpaka kuhesabu watu ili sisi tusio na ajira tujue kama tutapata japo kanafasi maana matichaz ndo walipewa first peority sasa vipi inakuwaje? Nawakilisha