Je, mhitimu wa kozi ya “Education with Religious Studies” anaweza kufanya kazi gani?

Je, mhitimu wa kozi ya “Education with Religious Studies” anaweza kufanya kazi gani?

Huwa wanafundisha CRE yaani.Christian Religious Education mashuleni primary na sekondary na shule za seminary au vyuo vya Theology vya kanisa

Pia huwa viongozi wa taasisi za elimu za kanisa
 
Back
Top Bottom