Je Miaka ya 1963/1969

Je Miaka ya 1963/1969

MTUSIASA

Senior Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
179
Reaction score
48
Je Ni kweli waislam waliupinga Uhuru kwa mujibu wa mashekhe hawa;- Abdillah Schneider Plantan, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Suleiman Masudi Mnonji, Ali Migeyo, Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Sharff Hussein Badawiy, Shariff Mwinyibaba na Shariff Adnan
 
bado hujaeleweka zaidi ya majina fafanua maandishi mekundu ueleweke
 
Maana kuna gazeti nlisoma inasemekana kwamba mashekhe hawa nyerere alisema wafungwe kutokana na kupinga Uhuru. Sasa Kama kuna anaejua ukweli huu au ni upotoshaji
 
Back
Top Bottom