Je, mikataba inayosaini Serikali inapitia bungeni?

ASIWAJU

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2022
Posts
1,938
Reaction score
1,632
Habari za saa members wote.

Nina swali lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu.

SWALI:
1. Je, mikataba inayo saini serikali na nchi za nje au makampuni ya ndani na ya nje ina pitia bungeni kujadiliwa ?
i, Kama jibu ni hapana, kwa nini haipiti katika bunge kujadiliwa ?

ii,Je, sheria za nchi zinasemaje kuhusu hili suala ?

Karibuni nyote.
 
HAINA SABABU KWANI BUNGE LOTE NI CCM haliwezi kuihoji Serikali na hata SHERIA inataka hivyo NCHI inaongozwa kwa MATAMKO TU
 
Habari za saa members wote.

Nina swali lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu.

SWALI:
1. Je, mikataba inayo saini serikali na nchi za nje au makampuni ya ndani na ya nje ina pitia bungeni kujadiliwa ?
i, Kama jibu ni hapana, kwa nini haipiti katika bunge kujadiliwa ?

ii,Je, sheria za nchi zinasemaje kuhusu hili suala ?

Karibuni nyote.
Serkali ya mchongo, bunge la mchongo, labda tusubiri mpaka baada ya 2025
 
Ndio, Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura unaenda kujadili nini? Huko bungeni wanajadili uganga wa kienyeji, Majungu, fitina, na usiku wanaishia kwenye mapenzi haramu a.k.a ngono. Ingekuwa wewe ndio serikali ungepeleka mkataba wowote kujadiliwa na hilo bunge lisilojitambua?
 
Sio tu kwa hili bunge la sasa lililo tokana na chaguzi za 2020 bali hata kwa mabunge ya nyuma. Je, haya niliyo uliza yana tekelezeka ?
 
Back
Top Bottom