Hilo ni kusanyiko la vilaza waliowekwa hapo na yule mwovu ili wapitishe agenda yake ya kutawala bila ukomo.Ndio, Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Serkali ya mchongo, bunge la mchongo, labda tusubiri mpaka baada ya 2025Habari za saa members wote.
Nina swali lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu.
SWALI:
1. Je, mikataba inayo saini serikali na nchi za nje au makampuni ya ndani na ya nje ina pitia bungeni kujadiliwa ?
i, Kama jibu ni hapana, kwa nini haipiti katika bunge kujadiliwa ?
ii,Je, sheria za nchi zinasemaje kuhusu hili suala ?
Karibuni nyote.
Hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura unaenda kujadili nini? Huko bungeni wanajadili uganga wa kienyeji, Majungu, fitina, na usiku wanaishia kwenye mapenzi haramu a.k.a ngono. Ingekuwa wewe ndio serikali ungepeleka mkataba wowote kujadiliwa na hilo bunge lisilojitambua?Ndio, Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Sio tu kwa hili bunge la sasa lililo tokana na chaguzi za 2020 bali hata kwa mabunge ya nyuma. Je, haya niliyo uliza yana tekelezeka ?Hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura unaenda kujadili nini? Huko bungeni wanajadili uganga wa kienyeji, Majungu, fitina, na usiku wanaishia kwenye mapenzi haramu a.k.a ngono. Ingekuwa wewe ndio serikali ungepeleka mkataba wowote kujadiliwa na hilo bunge lisilojitambua?