Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbezi maeneo ya tank bovuDa slamu kubwa kaka
Nipe mawazo kama hiyo capital inatosha boss
Nipe mawazo kama hiyo capital inatosha boss
Asante sana1. Mafriji Mawili (au Friji na Friza) = 1.7m
2. Music/Sub woofer 0.5m
3. Viti vya wateja na counter 2m
4. TV na Ving'amuzi 1.6m
5. Decorations 1m
6. Mtaji wa vinywaji 3m
7. Muweke mtu wa chips atakulipa kodi
8. Kodi ya miezi 6 tufante 2.5m
Total = approx 12m
Haya anza kupunguza kidogo kidogo hapo hafi ifike budget yako ya Mil 7.
Nipe wazo jingine tofauti na kilimo bosiHuo mtaji nenda kalime baada ya miezi 3 hadi 4 utakuwa mbali sana
Hii meseji itapuuzwa na wengi
Ni maeneo gani hayo mashamba hupatikanaKULIMA MPUNGA- GEITA IPO
KUKODI SHAMBA HEKALI 1 =200000
KUKATUA 50000 KULUDIA 50000 KUPANDA 50000 KUPALILIA 50000 MBOLEA YA SERIKALI KUPANDIA DUP 72000 KUVUNIWA 50000 KUPIGA JUNIA 2000 MAKADIRIO YA CHINI 18 MARANYINGI TUNAVUNIA 65000 BAADA YA MIEZI 4 UNAKUWA 100000 KILA JUNIA
Zao ganiHuo mtaji nenda kalime baada ya miezi 3 hadi 4 utakuwa mbali sana
Hii meseji itapuuzwa na wengi
Huo mtaji nenda kalime baada ya miezi 3 hadi 4 utakuwa mbali sana
Hii meseji itapuuzwa na wengi