Bi nyakomba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 385
- 104
Habari wakuu, nina mdogo wangu, mara ya mwisho kuona siku zake ni tarehe 16/5. Je, kama ni mimba itakuwa na muda gani?
Thanks in advance.
=====
Thanks in advance.
=====
Mimba inaanza kuhesabiwa siku ya kwanza ya hedhi ya mara ya mwisho.
Mfano, kama alipata heshi tarehe 16 May hadi 18 May, Umwi wa Mimba Unahesabiwa kuanzia tarehe 16 May. Japokuwa the first two weeks hatakuwa mjamzito, maana conception itafanyika about wiki mbili toka alipoona siku zake.
Naamini kuwa tarehe 16 May 2015 ndio ilikuwa siku yake ya kwanza ya hedhi yake ya mara ya mwisho. Tarehe ya makadirio ya kujifungua itakuwa ni tarehe 20 February 2016.
Ujauzito una wiki 8 sasa