Je, Mimba hii ina umri gani?

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
385
Reaction score
104
Habari wakuu, nina mdogo wangu, mara ya mwisho kuona siku zake ni tarehe 16/5. Je, kama ni mimba itakuwa na muda gani?

Thanks in advance.

=====

 
Hesabu kuanzia tarehe ya mwisho kuona siku zake mpaka Leo utapata muda wa mimba
 
Mimba inaanza kuhesabiwa siku ya kwanza ya hedhi ya mara ya mwisho.

Mfano, kama alipata heshi tarehe 16 May hadi 18 May, Umwi wa Mimba Unahesabiwa kuanzia tarehe 16 May. Japokuwa the first two weeks hatakuwa mjamzito, maana conception itafanyika about wiki mbili toka alipoona siku zake.

Naamini kuwa tarehe 16 May 2015 ndio ilikuwa siku yake ya kwanza ya hedhi yake ya mara ya mwisho.

Tarehe ya makadirio ya kujifungua itakuwa ni tarehe 20 February 2016

Ujauzito una wiki 8 sasa
 
Asanteni sana wakuu wiki 8 means miezi miwili? nashukuru sana kwa ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…