Je, mimi ni introvert au extrovert?

Wewe ni introvert maana Extrovert yupo humu ndani
 
You my friend are An Ambivet. (Mixture of introvert and extrovert)


Baada ya kujua hili labda uendelee mbele zaidi kwenye kutambua haiba yako sasa kati ya hizi


1. Melancholic

2. Sanguine

3. Phlagmatic

4. Choleric
 
Kila mtu anaweza kuwa vyote kulingana na mazingira. Binadamu si kama ukuta kitabia. Hubadilika kulingana na mazingira na muda. Kwa kuandika haya yote uliyoandika nakuona uko more of extrovert than introvert. Au tuseme wewe ni intro-extrovert.
 
Pengine wewe ni kichaa tu ila hujijuwi, hujawahi kupelekwa Milembe ukakataa ama kukimbia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…