Ht mm yashawahi kunitokea hayo, mbaya zaidi ni niliyekuwa namtegemea kwenye connection sina undugu nae hvy nilikuwa siwezi kumkumbushia kila muda ila mwisho wa siku connection ikawa disconnection sasa cjui alinipotezea hakunihangaikia au vp.mkuu niliona kama jamaa aliambia vile nisimsumbue niwe mpole
Tukishukuru kwa vitendo si kwakuwa tunapenda bali hakuna namna. Ukisema hii ni 0 ( sifuri) haya ukisema O ni oooh haya.Awamu Hii Tutanena Kwa Lugha
Nakuelewa Sana!!Tukishukuru kwa vitendo si kwakuwa tunapenda bali hakuna namna. Ukisema hii ni 0 ( sifuri) haya ukisema O ni oooh haya.
Uwe umehitimu chuo, uwe umemaliza la saba felia muhimu ni unapata shilingi ngapi baada ya siku kuisha????ππππ ndie anaeheshimika