Je,mimi ni nani?

Je,mimi ni nani?

Nikimpiga/nikipigiwa simu siongei zaidi ya dk 3 zikizidi sana dk 5



Kinyume na hapo muhusika akizidi zaidi ya hapo nahisi usumbufu na ndio mwanzo wa kupunguza mazoea



chatting za text kwa mtu mmoja hazizidi 15 hivi,niliwahi kuuza nokia tochi nikihisi hakina msaada!


Je,mimi ni nani? au kuna tatizo!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mjukuu wa corona virus.
 
Back
Top Bottom