Je mimi ni nani ?

Double K

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
907
Reaction score
342
Hi, nimeulizwa hili swali / kitendawili ila nimekosa naombeni jibu please.


Mimi ni wa kwanza dunuani na wapili mbinguni, huwa natokea na kuonekana mara mbili kwa wiki lakini waweza kuniona mara moja tu kwa mwaka, japokuwa nipo katikati ya bahari, JE MIMI NI NANI?
 
oooh kichwa kinauma naomba panadol tafadhali
 
jibu ni herufi E.

duniani-Earth
mbinguni-hEaven
kwa wiki-wEEk
kwa mwaka-yEar
katikati ya bahari- ocEan
etc etc....
 
jibu ni herufi E.

duniani-Earth
mbinguni-hEaven
kwa wiki-wEEk
kwa mwaka-yEar
katikati ya bahari- ocEan
etc etc....

heeee kweli hata ningefikiria vipi nisingebahatisha, thanks much
 
leroy uko juu. Nlishaanza kuingia google....
 
Last edited by a moderator:
jibu ni herufi E.

duniani-Earth
mbinguni-hEaven
kwa wiki-wEEk
kwa mwaka-yEar
katikati ya bahari- ocEan
etc etc....

the great thinker ndo km ninyi................
 
jibu ni herufi E.

duniani-Earth
mbinguni-hEaven
kwa wiki-wEEk
kwa mwaka-yEar
katikati ya bahari- ocEan
etc etc....

Huku ndo kunaitwa thinking as if there is no box!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…