Je, mitaani/Vijijini/Vitongojini kwenu mmewafanya nini hawa wenyeviti waliopachikwa?

Je, mitaani/Vijijini/Vitongojini kwenu mmewafanya nini hawa wenyeviti waliopachikwa?

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
357
Reaction score
686
Habari wapendwa. Kama kawaida sisi mitaani kwetu tunaendelea kuchukua hatua madhubuti dhidi ya wenyeviti waliopachikwa. Sisi hatupigi mtu, isipokuwa yeye mwenyewe anaamua kuachia ngazi.
Njia tunazotumia ni pamoja na:-
1. Kila tunapokutana nao tunawaita "VIBAKA".

2. Kila tunapokutana nao tunawazomea.

3. Nakadhalika.

Hii imesaidia sana na itasaidia sana wakati ujao.
Mpaka sasa wenyeviti 3 wameomba kuachia ngazi na wawili hawaendi hata ofisini kwa kuona haya.
Nyie mmefanya nini?

Maana tusibaki tu kulalamika bila kuchukua hatua tunazoziweza.
 
Back
Top Bottom