Je, mitandao ya simu ina utaratibu wa kurudisha pesa za mteja wao kwa ndugu ikiwa mhusika atafariki?

Je, mitandao ya simu ina utaratibu wa kurudisha pesa za mteja wao kwa ndugu ikiwa mhusika atafariki?

Meneja CoLtd

Senior Member
Joined
Mar 6, 2021
Posts
122
Reaction score
143
download.jpeg


Habari wanaJF, hivi karibuni nimekua na maswali mengi najiuliza, hivi kuna Utaratibu wowote wa kurudisha fedha zilizo wekwa kwenye mitandao ya simu kwa ndugu (warithi) endapo mtu aliyezihifazi fedha hizo atafariki?
 
  • Mahakama ikishamtambulisha mrithi, mrithi anaweza akaanza mchakato wa kufuatilia hayo madai, mali, pamoja na fedha zilizopo benki.​
  • Kama taarifa za kifedha marehemu alikuwa haweki wazi kwa warithi, uwezekano wa kupigwa upo pia.​
  • Unaweza ukaambiwa akaunti inasoma milioni moja, kumbe ishirini walishatoa.​
 
Mtandao upi warudshe..pesa ...watu wanaiba hadi data watarudsha helaaa never exist....na kuna mabilion ya watu wana die daily wakiwa na pesa zao kwa sim card zao but jamaa wanasema eti had mfike court na hamjui jamaaa alikuwa na ngp na watu huwa hatusemi pesa zetu zpo ngp kwa sim zetu ....
 
Back
Top Bottom