Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Miferejmitaro ipi
Ndiyo , Mtaa wa Msimbazi na Agrrey, Kariakoo.Kchwa cha habari knajtosheleza, tunasubiri shuhuda kutoka mitaani
Miferej kama hii ya hapa tandale kwa mkundugeMitaro hii hii,au mitaro mingine
Hapo jua likiwa kal sana n harufu ya mavi muda wote tena mav mabchNdiyo , Mtaa wa Msimbazi na Agrrey, Kariakoo.
asnte kwa updateNimeona Ilala wamefanyia kazi.
Siwapongezi Mamlaka, nampongeza raia aliyetoa taarifa.