Je, mizizi ya mgomba inaweza kuharibu ukuta wa nyumba?

Je, mizizi ya mgomba inaweza kuharibu ukuta wa nyumba?

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
413
Hello wana jf

Husika na kichwa cha uzi hapo juu.

Je, endapo mgomba utapandwa karibu kabisa na ukuta wa nyumba (nje ya dirisha) mizizi yake inaweza leta madhara kwenye ukuta?

Karibu unielimishe.

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
No way. Mizizi yenye kuleta madhara ya ile miti mikubwa...
 
Hapana Mkuu lakini hapo si ni karibu na dirisha tegemea konokono Mkuu na wadudu wa maji maji sababu ya hayo majani yake wanajificha huko sana.
 
Back
Top Bottom