Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
Asante kwa ushauri mkuuHapana Mkuu lakini hapo si ni karibu na dirisha tegemea konokono Mkuu na wadudu wa maji maji sababu ya hayo majani yake wanajificha huko sana.
unazingua mzeUsing'oe naomba tufanye majalibio kwako tafadhali