jonas255
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 225
- 110
Baba yangu alikua Mtumishi wa Ualimu idara ya elimu msingi kwa miaka mingi mpaka alipostaafu rasmi utumishi serikalini 2016 baada ya kuitumikia serikali kwa miaka 37
Baada ya kustaafu ilimchukua miezi kumi akapewa kiinua mgongo takribani 79 million lakini bado alikua akipewa penshen ya tsh laki tano kwa mwezi(500000) Mwaka jana mwezi january alifariki dunia.
Naomba kujua kama mjane wa marehemu anaweza kuendelea kupata asilimia flani ya kiasi(pensheni) alichokua anapokea marehemu