Watu mna vichwa vigumu dah, mbona swali lako linajijibu hapohapo kwenye hiyo comment uliyoquote? Just twist it unapata jibuNaomba kuuliza mimi mzee wangu alikuwa mwalim shul ya msing ila amefariki na tulipata mirath je mjane naendelea kupokea pension au ile iliyoyolewa ndio basi?
Mstaafu anapokufa na pensheni yake ya kila mwezi nayo inakoma.Naomba kuuliza mimi mzee wangu alikuwa mwalim shul ya msing ila amefariki na tulipata mirath je mjane naendelea kupokea pension au ile iliyoyolewa ndio basi?
Baba mkwe wangu alifariki 2013 ikiwa ni miaka mitatu kabla ya kustaafu ,mirathi ikatoka 2014,mama mkwe mpaka Leo anachukua malipo kila mwezi kiasi kisichopungua kilo 4.Mstaafu anapokufa na pensheni yake ya kila mwezi nayo inakoma.
Labda kwenye case hiyo, pesa ya mafao ya marehemu kwenye kile kiwango halisi alichotakiwa kupewa , hakupewa chote, huyo mama kwe wako, kingine kilibakia ili kila mwezi awe analipwa.lakini utaratibu uliopo ni kuwa mstafu anapofariki tu malipo yake ya pensheni ile ya kila mwezi huzuiliwa.Ndio maana ni lazima kila mwanzoni mwa mwaka, aende mwenyewe kulipoti ili wahakikishe kuwa bado yu hayi!!Baba mkwe wangu alifariki 2013 ikiwa ni miaka mitatu kabla ya kustaafu ,mirathi ikatoka 2014,mama mkwe mpaka Leo anachukua malipo kila mwezi kiasi kisichopungua kilo 4.
Kwenye penshen ya mirathi ikotokea marehemu amefariki na ana watoto wadogo chin ya miaka 18 na alitimiza miaka 15 kazini basi yule msimamizi wa mirath atakuwa anapewa penshen kula mwez had pale mtoto mdogo atakapotimiza miaka 18 kama mwanafunzi 21, lengo ni kuwasaidia watoto wa marehemu waweze kusoma. Ila ni lazima marehemu awe katimiza miaka 15 kazini ndio penshionable age kwa sheria zetu, ndio maana haajiriw mtu mwenye zaid ya miaka 45 kwa masharti ya permanent n pensionable.Labda kwenye case hiyo, pesa ya mafao ya marehemu kwenye kile kiwango halisi alichotakiwa kupewa , hakupewa chote, huyo mama kwe wako, kingine kilibakia ili kila mwezi awe analipwa.lakini utaratibu uliopo ni kuwa mstafu anapofariki tu malipo yake ya pensheni ile ya kila mwezi huzuiliwa.Ndio maana ni lazima kila mwanzoni mwa mwaka, aende mwenyewe kulipoti ili wahakikishe kuwa bado yu hayi!!
Marehemu anafariki, teteteteKwenye penshen ya mirathi ikotokea marehemu amefariki na ana watoto wadogo chin ya miaka 18 na alitimiza miaka 15 kazini basi yule msimamizi wa mirath atakuwa anapewa penshen kula mwez had pale mtoto mdogo atakapotimiza miaka 18 kama mwanafunzi 21, lengo ni kuwasaidia watoto wa marehemu waweze kusoma. Ila ni lazima marehemu awe katimiza miaka 15 kazini ndio penshionable age kwa sheria zetu, ndio maana haajiriw mtu mwenye zaid ya miaka 45 kwa masharti ya permanent n pensionable.
Whatever, mwalimu wa kiswahiliMarehemu anafariki, tetetete