Kuishitaki serikali kwenye mahakama zipi, hizi hizi ambazo majaji wake wanateuliwa na Mkuu wa Magamba? Halafu Policcm inayoongozwa na shemeji wa M.k.w.e.r.e ndio ikajibu tuhuma mbele ya Jaji asiye hata na degree aliyepata nafasi hiyo kiushkaji? Labda akashitaki The Hague na siyo hapa! Wewe hujiulizi huyo mjane wa Kombe alishitaki? Na je, kwanini Zombe na Prof. Mahalu hawajaishitaki serikali kwa kuwachafua kwa kesi za kimagumashi? Ukipata jibu ndio ulitumie kujijibu!Zamani kidogo nilisoma kuwa mke wa hayati Jenerali Kombe aliyekuwa ameuwawa na Polisi kwa kumdhania ni jambazi alishitaki serikali kuwa imlipe mabilioni ya pesa. Alishitaki kwa kuwa waliokuwa wameuwa ni askari Polisi wa serikali, wakitumia bunduki na riasasi ya serikali wakiwa wamemfuatilia kwa kutumia gari la serikali. Marehemu Mwangosi naye aliuwawa na Polisi wa Serikali, kwa kutumia silaha za serikali, mbele ya RPC! Serikali yaweza kushtakiwa kumlipa fidia Mama yule aliyeuliwa mumewe, na watoto ambao wapoteza baba yao??
Zamani kidogo nilisoma kuwa mke wa hayati Jenerali Kombe aliyekuwa ameuwawa na Polisi kwa kumdhania ni jambazi alishitaki serikali kuwa imlipe mabilioni ya pesa. Alishitaki kwa kuwa waliokuwa wameuwa ni askari Polisi wa serikali, wakitumia bunduki na riasasi ya serikali wakiwa wamemfuatilia kwa kutumia gari la serikali. Marehemu Mwangosi naye aliuwawa na Polisi wa Serikali, kwa kutumia silaha za serikali, mbele ya RPC! Serikali yaweza kushtakiwa kumlipa fidia Mama yule aliyeuliwa mumewe, na watoto ambao wapoteza baba yao??